SEHEM
YA KWANZA niliinuwa mikono juu na kumshukuru mungu kwakunifikisha
salama maana wengi tunaamini mungu yupo juu ya mbingu kisha nikatembea
hatuwa chache nikageuka nikaiangaria ile
ndege nikaangaria anga ambayo muda sio mlefu nilikuwa angani
nikatingisha kichwa wakati wote sikuwa na fraha nikaenda shehem ya
ukaguz kisha nikatoka ad zilikoegeshwa tax nikakodi tax nakuondoka ktk
uwanja wa kimataifa mwa mwalim jk nyelele tulikumbana na foleni pale
tazala ubungo na mwenge hatimae nilifikiswa nyumbani kwangu masaki
nikashuka na begilangu nikiwa nimechoka akili na mwili nikajitupa ktk
kibalaza na kuegemea nguzo nilizama ktk mawazo na maswali yasiyo na
majibu nikasikia sauti nafsiyangu inanituma nikusaidie lakini
nitakusaidiaje wakati cjui tatizolako lax nikamuangalia tafadhari naomba
kujuwa tatizo baada yakunishawishi sana nikajikuta naongea hivi
nilijitahidi sana ndani ya nchi yangu tanzania mikowa yote navitongoji
vyake sikufanikiwa kumpata jee ni nani? (usikose
No comments:
Post a Comment