Pumzika
kwa uhuru Peter Tosh: Octoba 19, 1944 - Septemba 11, 1987 mawazo yako
yataishi milele Kwangu wewe si mwanamuziki si mwanaharakati ni baba wa
muziki baba wa Harakati msema kweli Mtetezi wa wanyoge ni mengi ya
kusema juu yako Rip bush doctor

No comments:
Post a Comment