#VIDEO:Waziri wa nchi ofisi ya rais menejimenti ya utumishi wa umma na utawala bora Angellah Kairuki amemuamuru mkurugenzi mkuu wa mfuko wa maendeleo ya jamii ya kunusuru kaya masikini kuwasimamisha kazi wafanyakazi 111 wa
mfuko huo nchi nzima kwa kushindwa kusimamia ipasavyo nafasi zao na
kusababisha baadhi ya watu wasio walengwa kunufaika na fedha hizo
kinyume na malengo ya serikali.


No comments:
Post a Comment