Tuesday, February 2, 2016

wazo la mbunge vipi kwa wavutaji

http://safinamiutamu.blogspot.com/
saa 11
Katika hali isiyo ya kawaida Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Msukuma (CCM), amesema haoni sababu ya Serikali kuzuia bangi kuwa zao la biashara kwa maana haoni madhara yake huku akikazia kwa kusema wasukuma wakivuta bangi wanalima zaidi.
Unaungana au unapingana na Mbunge huyu?

No comments:

Post a Comment

PESA YAIMBA WIMBO