Safinafilms Miutamu amesambaza picha ya Diamond Platnumz.
Diamond Platnumz
Guess What..!!!!!!???? siku ya kesho stock nzima ya #Wasafi_Clothing_line itakuwa Coco beach!... yaani zile zagazaga zooote! za Wasafi zitapatikana Coco beach katika tamasha la #Cocacola... Ukifika tu Coco piga namba hii +255654019091uwe directed.... kumbuka: Kiingilio ni Bureeeeeee!... #WCB for life!

No comments:
Post a Comment