Monday, February 1, 2016

Mwanafunzi wa mwaka wa pili katika Chuo Kikuu Cha Tumaini Makumira jijini Arusha, Jennifer Meshack (26) amejiua kwa kujinyonga baada ya kujifungua mtoto ambaye hakutimiza miezi yaani njiti. R.I.P Jennifer Meshack

No comments:

Post a Comment

PESA YAIMBA WIMBO