Sunday, January 31, 2016

#‎PICHA‬ Waziri wa Maliasili na Utalii Prof Jumanne Maghembe akitembelea eneo ambapo Helikopta moja ya doria ya askari wa wanyamapori ilipotunguliwa na watu wanaosadikiwa kuwa ni majangili na kusababisha kifo cha rubani wa helikopta hiyo, Kusini mwa hifadhi ya Serengeti, wilayani Meatu mkoani Simiyu.

No comments:

Post a Comment

PESA YAIMBA WIMBO