Mchekeshaji kutoka nchini Kenya, Eric Omondi akiwa na kikosi kazi chake wakiwasili katika jengo la Alosco Tower lililopo Lumumba jijini Dar es Salaam leoCopy the BEST Traders and Make Money : http://bit.ly/fxzulu
Mchekeshaji kutoka nchini Kenya, Eric Omondi akiwa katika pozi na bango la GSM Media leo alipo wasili jijini Dar es Salaam kwaajili ya 'LIVE SHOW' itakayofanyika kesho katika hoteli ya Hyatt katika ukumbi wa Marqee jijini Dar es Salaam.Copy the BEST Traders and Make Money : http://bit.ly/fxzulu
Kushoto ni Mchekeshaji kutoka nchini Kenya, Eric Omondi akiwa na Meneja Mkuu wa GSM Media, Deo Ndejembi (katikati) na Dj wa mchekeshaji huo, wakiwa katika ofisi cha GSM Media leo mara baada ya kuwasili jijini Dar es Salaam.Copy the BEST Traders and Make Money : http://bit.ly/fxzulu
Meneja Mkuu wa GSM Media, Deo Ndejembi na Mchekeshaji kutoka nchini Kenya, Eric Omondi wakiwa katika picha na kikosi kazi cha mchekeshaji huyo ambapo 'LIVE SHOW' itakayofanyika kesho jijini Dar es Salaam. Picha na Avila Kakingo wa Globu ya Jamii.Copy the BEST Traders and Make Money : http://bit.ly/fxzuluhttp://safinamiutamu.blogspot.com/
No comments:
Post a Comment