Saturday, January 30, 2016

Mchekeshaji anaesumbua Africa mashariki Eric Omondi ameikubali filamu ya Salma Jabu nisha na kuamua kuvaa tisheti ya filamu hiyo kama njia ya kutoa sapoti na kuikubali kazi hiyo filamu ya Kiboko kabisa bado ipo madukani kote kutana na Nisha,Mzee majuto pamoja na wasanii wengine wengi

Steps Entertainment LTD's photo.

No comments:

Post a Comment

PESA YAIMBA WIMBO