Saturday, January 16, 2016

Kama itakuwa kweli basi niseme Nape jembe sana maana hili gazeti lilikuwa sio zuri huko tulikuwa tunaelekea
Yani kama kuna mtu alikuwa halikuwa halifatilii basi kakosa mambo mengi yakichochezi,
Nasema hivyo kutokana hili gazeti mawio mwanzo lilikuwa linaitwa mwanahalisi ila likafungiwa huyu mliki akaja Na jina lingine akaliita mawio kutoka mwanahalisi sasa Leo hii limefungiwa tena je? Ataliitaje akianzisha lingine!!!
Nasasa mliki ni mbunge litakuwa kweli limefungiwaaaa au wamempa ubunifu mwingine ili aendelee kuleta mambo yake

No comments:

Post a Comment

PESA YAIMBA WIMBO