
#Habari:Chama cha ukombozi wa umma CHAUMA kimepinga kurudiwa upya uchaguzi visiwani Zanzibar mwezi wa tatu mwaka huu na kusema hatua hiyo inakiuka misingi ya uchaguzi wa nafasi ya urais kwatanzania bara na kushauri utaratibu mwingine utafutwe kwa lengo la kunusuru ya hali yakisiasa visiwani humo.
No comments:
Post a Comment