Wednesday, December 9, 2015

‪#‎Habarizahivipunde‬:Kaimu mkurugenzi wa habari na Mawasiliano CUF Ismail Jussa amekanusha uvumi uliosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu taarifa za kufariki dunia Kwa makamu wa kwanza wa rais Maalim Seifu Sharifu Hamadi na kusema wanaofanya hivyo nI watu wenye nia ovu na kiongozi huyo.

No comments:

Post a Comment

PESA YAIMBA WIMBO