NAULIZA SWALI TU:!! Hivi nyie wananchi muliowachagua wabunge wenu hasa wale wa CCM waliobakia leo ndani ya Bunge wakati Rais Dk. Magufuli ameingia ndani ya kuhutubia Bunge mumepata faida gani/Mumefaidika nini zaidi??.. Hili ni swali tu nauliza maana kuna 'Maboya' yanaendelea kupiga kelele kuwa Wabunge wa UKAWA waliotoka wamewanyima haki wananchi waliowachagua sasa nyie wananchi muliowachagua wabunge wa CCM mumepata haki ama faida gani?? Ujinga ni huu mtu anaposti usengerema kuwa UKAWA wamewanyima haki wananchi waliowachagua kwani kulikuwa na lolote ndani ya Bunge ambalo liliwahusu wananchi? na hata wangebaki wao wangewasadia nini wananchi?? JAMANI TUACHE KUKARIRI suala la upinzani ni pamoja na hilo la kutoka ama kukataa kile wanachokiamini wao tuache kubeza beza kiboya!! ndio maana wanasema ELIMU NI KAZI!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
-
UFUSKA...@@PICHA 6 ZA MREMBO AKILAMBA MKUNDU WA MWENZAKE BILA AIBU MBELE ZA WATU ..ANGALIA HAPA... peruztz.blogspot.c...
-
Chombezo: MPANGAJI Sehemu: 14 Mtunzi: Frank Masai Simu: 0717 738973 ILIPOISHIA... “Huyu ni mgeni,ni mdogo wake George,katoka Dar. Kafika ha...

No comments:
Post a Comment