Friday, November 20, 2015

LIKE PAGE HII KISHA SHARE NA WENGINE MAUMIVU YA MTOTO HUYU TUMWOMBEE APONE HARAKA.

 Unapo pata mda wa kuwa kimya peke yako na kufikilia hiv vile na matatizo yalo kuzunguka pia jaribu kufikilia matatizo ya watu wengne wenye matatizo zaidi yako hii itakusaidia kukupa faraja lakin pia itakupa nafsi ya kumshukuru kwa karibu Mungu wako kwn utaona wapo wengi wenye matatizo zaid yako*
*Mtoto huyu Anaumwa Kansa ya sikio*
*Em fikilia ni maumivu kiasi gani anayo yapata?

No comments:

Post a Comment

PESA YAIMBA WIMBO