Friday, November 20, 2015

-Hongera sana Mh Yani Nimefurah leo Mie Nahc km kuna Roho ya Pili ya Spr Tire Nimeshushiwa



http://safinamiutamu.blogspot.com/

-Hongera sana Mh Yani Nimefurah leo Mie Nahc km kuna Roho ya Pili ya Spr Tire Nimeshushiwa leo!!!!!!!!! kwa furaha nilonayo!!!!!! Maana kayapasua Majipu, Kayatumbua Majipu tena bila Ganzi Ha ha haaa!!!!!! Majipu yote yametumbuliwa leo Mpk yale ya Kwapa!!!!!!!!!! Hata km wametoka bungeni Ww ndio Rais na Shein pia atabaki kuwa yeye, wakisusa wenzao wanakula,Mh umeongea saaana Kaka nakuaminia km vile Mh Jakaya najua Nyayo unaifata ya kusema ukweli na utendaji sahh,,mpk leo bd nae twamkumbuka meng ameyafanya ya Maana sana mpk leo twajivunia, Ila Mh Magufuli Leo Umepasua mpk Magoita ya Roho na majipu mabichi!!!!!! magufuli sema sema usiogope semaa- Hapa Kazi Tu- Vikao jaman hata chni ya miti vinawezekana- jaman mmemuelewa Mh, polen sana walee mashabik maandazi wanaojfanya kila vikao mpk waende kumb za garama ksa zina masofa, mwapenda vzr km wana wa paka, muachee Hapa kazi tu- hakuna kufugana fugana km samak wa kufugwa, hapana- jaman twataka usawa, Nakupa Bg Up sana Mh,Mungu atakulinda Inshaallah, Na hao walosusa Mbungeni me nawaambia Wasuse mpk mbingun wakifarik wakamsusie na mungu km hakuna mungu,

No comments:

Post a Comment

PESA YAIMBA WIMBO