#HABARI Aliyeingia hivi sasa Bungeni katika uzinduizi wa Bunge ni Rais wa Zanzibar Dkt Ali Mohamed Shein,kelele nyingi zinasikika kutoka kwa wabunge wa UKAWA wakipinga kutomtambua huku wakilitaja jina la Maalim Seif
Kelele za wabunge zinaimba "Maalif Seif, Maalim Seif, Maalim Seif, Maalim Seifu..." Lakini taratibu zinaendelea
Spika wa Bunge Job Ndugai amewaamuru wabunge wanaopiga kelele watoke nje. Askari wameingia na kuwaamuru wabunge watoke nje, wabunge wote waliokuwa wakipiga kelele wametoka nje

No comments:
Post a Comment