Wednesday, November 4, 2015

EAST AFRICA DRIVE (10:00 Alasiri) KUAPISHWA KWA RAISI


Wakati tukisubiri raisi kuapishwa kesho,usafi umeanza katika jiji la Dar es Salaam,gari maalum lazunguka kusafisha barabara mpaka Airport.
Unadhani usafi huu ungekuwa ukifanyika kila siku, jiji la Dar es salaam lingekuwa katika hali gani?

No comments:

Post a Comment

PESA YAIMBA WIMBO