Saturday, November 21, 2015

aada ya NYUMBUs kutoka nje ya Bunge hapo jana, unajua kilichoendelea?? Angalia hapa wewe mwenyewe...

Angalia hapa wewe mwenyewe...
....Walikumbuka kwamba....baada ya Hotuba kutakuwa na Mchapalo....hahahahahaa, hapo ndipo walipoanza kuonyesha rangi yao halisi...wakaanza kuwahoji Polisi, INAKUAJE SASA MNATAKA TUONDOKE WAKATI TUNA KADI ZA MCHAPO???
Eti, hotuba ya Rais na Maendeleo ya Wnanchi havina maana kwao zaidi ga MCHAPALOOO....
Kwamba, Rais Dkt Shein sio Rais halali mle ndani ya Bunge lakini kwenye Mchapalo Shein ni Rais halali wa Zanzibar....hawa watu ni zaidi ya Watoto, ni mazezeta, waroho, warafi na wabinafsi...
Wale mliowachagua msitegemee Maendeleo na Mabadiliko zaidi ya KUZUNGUSHA MIKONOOOO.....

No comments:

Post a Comment

PESA YAIMBA WIMBO