Saturday, January 3, 2015

TAMBAZA WATIA FORA KINOMA NOMA SUN SIRO

leo tarehe tatu tamabaza actios marts general brocker imefanya sherehe ya kuufunga mwaka na wafanyakazi wake maeneo ya sinza shekilango kwenye clabu kubwa  sun ciro jiji dare es salaam  akiongea na mwandishi weu mkurugenzi wa kampuni  amekuwa na furaha sana kutokana na vijana wake kufanya kazi kwa bidii na kujituma  na  anawashukuru sana

CHANGAMOTO
changamoto zinazowakabili vijana kwenye kazi ni pamoja na askari polisi kuwapa ugumu wa kazi wa kukamata pikipiki kutokana na kutokutoa ushirikiano  changamo nyingne ni  askari pirisi kugeuka kuwa bodaboda unapomkamata  anakutolea kitambulisho cha kazini kwake yaani ad ya porice na unakuta   hana kibali cha pikipiki yake kuweza kuingia mjini na wakati mwingine anapakia  abilia  na kuigeuza pikipiki yake bodaboda kwa hiyo  hizo ni changamoto chache wanazokabiliana vijana wa tambaza  actions marts

No comments:

Post a Comment

PESA YAIMBA WIMBO