Sunday, December 7, 2014

Wananchi wa vijiji mbalimbali katika wilaya za Kilosa na Mvomero mkoani Morogoro wameitaka serikali kuharakisha utekelezaji wa maazimio ya bunge ya kuwawajibisha watu wote waliohusika na wizi wa fedha za akaunti ya Tegeta Escrow ili iwe fundisho kwa watumishi wa umma wanapopewa nafasi za kusimamia majukumu mbalimbali ya serikali.->http://bit.ly/12A0Qsh
 

No comments:

Post a Comment

PESA YAIMBA WIMBO