Tuesday, December 2, 2014

soma hapa ya leo

Taasisi ya Sekta Binafsi nchini -TPSF imeanzisha Mfuko Maalum wa kuwawezesha wanawake kugombea ubunge wa kuchaguliwa.-


Jela miaka 50 kwa kuwaharibu watoto Kenya 
Mahakama nchini Kenya imemhukumu kifungo cha miaka 50 jela raia mmarekani kwa kutengeza na kusambaza picha chafu za video za watoto.
bbc.in

‪#‎NIRVANA‬ (1:00 Usiku) USAHILI WA SWAHILI FASHION WEEK 2014
Warefu wembamba kwa wasichana, warefu wakimazoezi kwa wanaume! Fani ya mitindo kweli ni ndoto ya wengi! Sasa pata kujua yaale yaliyojitokeza pale mamia ya wanamitindo kutoka pande za Tanzania na nchi za jirani walipochuana kugombea nafasi ya kutembea kwenye jukwaaa la swahili fashion week 2014!
Je, unadhani kwanini watu wengi bado wanaamini uanamitindo ni fani ya uhuni?
Utafiti mkubwa wa kisayansi uvumbua kuwa virusi vya HIV vinapungua makali kadri muda unavyokwenda. Watafiti kutoka chuo kikuu cha Oxford wamegundua hilo baada ya kuwachunguza mamia ya wanawake nchini Botswana.Lakini hili halina maana kuwa ukimwi si hatari.Tupe maoni yako

No comments:

Post a Comment

PESA YAIMBA WIMBO