Derby ya Kikatalani: FC Barcelona Vs ESpanyol
Barca Line-up:13. Bravo 3. Pique 4. Rakitic 5. Sergio 6. Xavi 9. Suarez 10. Messi 11. Neymar 14. Mascherano 18. Jordi Alba 22. Alves
Barca Bench: Ter Stegen, Pedro, Iniesta, Rafinha, Adriano, Mathieu na Munir
... See More

#Kwarahazetu
kibarazani leo Khadija Yusuph na wifi yake Chiku (mke mdogo wa mzee)
wamegombana wakati walikuwa mashosti wa kutunzana....!!!Umbea wa Afya
zaidi sikiliza #kwarahazetu mpaka saa 3 usiku.
#TZA
Ushahidi wa kuachana kwa Chris Brown na aliyekuwa mpenzi wake Karrueche
Tran, pamoja na kile ambacho wamekiandika mitandaoni kuhusu sababu za
kuachana kwao. Bonyeza link hii uisome story hiyo >>> http://millardayo.com/chrdec07/

B.Rodgers:Wacheni kumtegemea Gerrard http://bbc.in/1wNLe1L
Mkufunzi
wa Liverpool Brenda Rodgers amewaonya wachezaji wake dhidi ya
kumtegemea nahodha wa timu hiyo Steven Gerrard kila mechi.
bbc.in
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete
amemteua Mkuu Mpya mmoja wa Mkoa na kuwahamisha vituo vya kazi wengine
sita kuanzia jana, Jumamosi, Desemba 6, 2014.
Taarifa iliyotolewa leo, Jumapili, Desemba 7, 2014 na Katibu Mkuu Kiongozi (KMK), Balozi Ombeni Sefue mjini Dar es Salaam inasema kuwa Rais amemteua Mkuu wa Wilaya ya Karatu, Mkoa wa Arusha, Ndugu Daudi Felix Ntibenda kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha.
Ndugu Ntibenda ataapishwa kesho, Jumatatu...
See More

Rais Robert Mugabe ameteuliwa tena kuongoza chama tawala nchini Zimbabwe na mke wake Grace akapewa wadhifa wa juu katika chama.
Kupandishwa cheo kwa Grace Mugabe kuongoza tawi la wanawake la Zanu-PF kunamuweka katika nafasi nzuri ya kumrithi mumewe katika siku zijazo,wanasema wachambuzi.
Mke huyo wa Rais amewashtumu wakinzani wake wa kisiasa akiwemo Makamo Rais Joyce Mujuru, katika miezi ya hivi karibuni.

Mourinho awalaumu 'ball boys' kwa kipigo http://bbc.in/1wNES2B
Mkufunzi wa Chelsea Jose Mourinho amelalama kuhusu upotezaji wa wakati baada ya timu yake kufungwa kwa mara ya kwanza
bbc.in

No comments:
Post a Comment