Tuesday, December 2, 2014

samahani lakini km swali langu litaonekana halina maana .. ila iv elimu kazi yake nn haswa mana m nadhan hata waliosoma hawajui maana yake, mana wanaosoma wanakwenda kwa 7bu wameambiwa waende xul ila kiukweli watu km mie tucojua nn maana yake nadhani watakuwa wengi sana ... na nadhani hlo ndio tatizo kubwa sana ,, mana kama unafanya ktu ucchojua maana yake alafu unategemea bahati nacbu tu et mambo yatajipya hko mbele ni tatizo sana tena sana ... mmhhh ni mawazo yangu tu ... nimejikuta kwa hl grp cjui nani ameniweka nikaona niandike ya moyoni kdg .....

No comments:

Post a Comment

PESA YAIMBA WIMBO