Saturday, December 6, 2014

MCHUCHUMIO

‘MCHUCHUMIO’ ama Viatu vyenye Visigino virefu, ni mojawapo ya vitu vinavyopendwa na baadhi ya wanawake mbalimbali, si katika Tanzania bali dunia nzima. Wataalamu wanaeleza kuwa viatu hivi huharibu pingili za uti wa mgongo na huvunjavunja mifupa ya visigino. Je hizi Fagio zipo kwenye kundi gani la viatu?

No comments:

Post a Comment

PESA YAIMBA WIMBO