Matukio
ya wanaume kunyanyaswa na kufanyiwa ukatili na wake zao Ikiwemo
kumwagiwa maji ya moto na hata wengine kukatwa viungo vyao yameshika
kasi mkoani Ruvuma ambapo baadhi ya wanaume wameanza kuripoti matukio
ya kunyanyaswa na wake zao katika madawati ya Jinsia.->http://bit.ly/1wJyoSj

No comments:
Post a Comment