Tuesday, December 2, 2014

KULALA BILA NGUO KUNAPUNGUZA UWEZEKENO WA KUPATA KISUKARI

Utafiti mpya uliotolewa nchini Marekani, umebainisha kuwa watu wanaopenda kulala bila nguo wanapata faida nyingi ikiwamo ya kuwa na uwezekano mdogo wa kupata ugonjwa wa kisukari.
Ripoti hiyo ya utafiti iliyotolewa na Taasisi ya Kitaifa ya Usingizi (NSF), inaeleza umuhimu wa watu kulala bila nguo kuwa ni kuimarisha uhusiano kwenye ndoa na kupunguza kalori nyingi.
..

No comments:

Post a Comment

PESA YAIMBA WIMBO