Wiki hiii shuhudia kilicho happen kwenye uwanja wa Lake Tanganyika wakati wa tamasha la KILI MUSIC TOUR Kigoma, Diamond ndani Mwana FA, Christian Bella na na wasanii wengine kibao... EATV Pekee
Unahisi kwanini Kigoma ndio mkoa unaotoa wasanii wengi maarufu katika mziki wa Bongo fleva?

No comments:
Post a Comment