Thursday, December 11, 2014

Home » » HII NI KALI KULIKO...WAFUNGA HARUSI WAKIWA WATUPU KABISA KAMA WALIVOZALIWA

HII NI KALI KULIKO...WAFUNGA HARUSI WAKIWA WATUPU KABISA KAMA WALIVOZALIWA

Bwana na bibi harusi Gypsy Taub na Jaymz Smith walifunga ndoa katika harusi ya aina yake ambapo wanaharusi hao walikuwa uchi wa mnyama. Harusi hiyo ilifanyika katika jiji la San Fransisco, California, nchini USA na ilishuhudiwa na umati wa ndugu, marafiki, na watu wengine waliotaka kujionea. Kwa ambao umri unaruhusu, video ya harusi hiyo inaonekana hapa
Maharusi hao wakidansi uchi baada ya kufunga ndoa.

No comments:

Post a Comment

PESA YAIMBA WIMBO