Katika makala hii tutaangalia dawa mbadala mbalimbali 10 zinazotibu ugonjwa wa kisukari. Labda utakuwa unajiuliza, Je kisukari kinatibika? Ndiyo kisukari kinatibika. Mhimu ni upate tiba mbadala au tiba asilia ambazo ni sahihi.
Umakini unahitajika sana hasa kwa mgonjwa yule ambaye ameanza kutumia dawa za hospitalini kila siku. Nakushauri usianze kuzitumia hizi dawa moja kwa moja ukiwa peke yako bila uangalizi wa karibu wa daktari au mganga wa tiba za asili.
Twende sasa tuzichambuwe hizi dawa moja baada ya nyingine pamoja na picha zake kama ifuatavyo kwa kubonyeza hapa => http://goo.gl/GZkNOk
No comments:
Post a Comment