safia films company ltd inayofuraha ya kukutaarifu kuwa imefungua blog
yao inayokwenda kwa jina la safina miutamu kwa hiyo basi ukiwa kama
mdau wahabari tunaomba kuhudhulia ufunguzi huu utakaofanyika
tarehe mja mwezi wa kwanza 2015 ndani ya ubungo praza ili kuweza
kufanikisha ufunguzi huu na unaweza changia kitu chochote chenye
kuweza kufanikisha ufunguzi huu unaweza kuchangia bank kwa akaunt
namba bank ya post bank kwa namba akaunt 010-00305084
au kwa tigo pesa 0714231828 au m pesa 0764411142 asanteni
sana

No comments:
Post a Comment