Thursday, November 27, 2014

ni baada ya kufuria sasa ageukia sanaaa

kijana mmoja wa kitanzania   kwa jina tunamuifadhi aliyekuwa  mfanyakazi wa tanesco  na mmliki wa kundi la tazama arts group sasa  ageuka kituko kwa wasanii wake baada ya kuongopa  kila waulizapo  kuhusu maendeleo ya kundi  mjadala huo uliodumu kwa muda wa masaa  saba  na kukosa ufafanuzi   uliowafanya  wasanii wote kuamua kuachana na mkurugenzi huyo na kuangukia kwa meneja wao aitwaye yenga yenga  tulipofanya  mahojiano kuusu   nini kinaendelea kati ya meneja wasanii  na  mkugenzi tuliambulia vumbi kwa maana kila mmoja hakuwa tayari kutoa yamoyo    kwa hiyo basi usikose toleo la  kesho ili kujua nini  kiliendelea hapo
ni bint  aliyefumaniwa na  bwana ake gest wiki hii

No comments:

Post a Comment

PESA YAIMBA WIMBO